Ni miaka 2 tangu YG the Compton MC kudondosha Project ya Still Brazy, Rught now kuna Headlines za ujio wa Album before this Year kuisha.
YG aliwatangazia mashabiki ujio wa Album yake hiyo katika shoo ya “The Boogie,” LA February 17 kwa kusema kwamba,“I’ve got a public service announcement,kama nyie ni moja kati ya marafiki zangu wa ukweli,mtakuwa na furaha juu ya taarifa hii,It’s been a long time coming…,Album yangu mpya inayokuja ipo njiani ambayo inaitwa Stay Dangerous"
Moja kati ya ngoma inayopatikana katika hiyo album na ipo out ni Suu Whoop ambayo imefanywa na Producer Dj Mustard na ilitoka February 16.
EmoticonEmoticon