Mkanda wa ngono wa mwanamitindo na video vixen kutoka Marekani, Black Chyna umevuja mtandanio.
Mkanda huo ambao ulianza kuvuja jana kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter umemuonyesha sura mrembo huyo akiwa na kijana ambaye mpaka sasa hajafahamika ni nani.
Video hiyo iliyoachiwa mtandaoni ilikuwa na muda wa dakika 1 na sekunde 23. Baada ya kutokea hali hiyo Mwanasheria wa mrembo huyo Lisa Bloom alitumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kulaani kitendo hicho cha udhalilishaji kwa mteja wake.
Revenge porn -- posting explicit images without the consent of everyone in those images -- is a crime, a civil wrong, and a form of domestic abuse.— Lisa Bloom (@LisaBloom) February 19, 2018
It's also a way to try to slut shame women for being sexual.
Girls have killed themselves over revenge porn.
It's not a joke.
EmoticonEmoticon