TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nicki Minaj Is Missing:Ijue Taarifa Hii Kwa Kina Ya Nicki Minaj

Poster Iliyotengenezwa na mashabiki katika campaign ya kumtafuta Nick 
Female Rapper Nicki Minaj amekuwa Busy since mwisho wa mwaka 2017 na imeonekana hiyo katika mitandao yake ya kijamii pia amekuwa kimya bt full story kuhusiana na ukimya wa Nicki pamoja na Good News zipo hapa.

Chanzo cha karibu na Nicki kimeeleza kwamba mwanadada huyo ameamua kuacha mitandao yake ya kijamii kwa muda ambapo right now ana focus kwenye kazi yake ya muziki na ndyo maana hakuna post mpya katika mitandao yake ya kijamii toka December 30 na huwa ana feels way more creative akiwa hatumii mitandao hiyo ya kijamii Twitter & Instagram.

Chanzo hicho kimeendelea kueleza kwamba Nicki amekuwa akifanya kazi mchana na usiku ndani ya studio na producers na rappers kama vile Lil Wayne, Mack Main na Rappers wengine wa kundi la Young Money

Sad News ni kwamba;Nicki hatotumia mitandao hiyo ya kijamii mpaka Album yake itakapokamilika.

Hali ya Nicki right now ipo vizuri na imeelezwa kwamba kuhusiana na Album yake mpya kuna baadhi ya nyimbo kadhaa zimekwishakamilika na kila nyimbo lazima itakuwa hit,imeelezwa album hiyo itaachiwa ndani ya mwaka huu, and it's expected to be fire.

Nicki Minaj hajatoa Album Since 2014

   



EmoticonEmoticon