Mwanzo mzuri kwa mwaka 2018 kwa kundi la Rae Sremmurd kuachia ngoma 3 ambazo zitapatikana kwenye Album ya SR3MM ambayo itadondoka ndani ya mwaka huu,
Kuna solo proaject 2 na moja ya kwao pamoja.
Swae Lee solo single yake inaitwa “Hurt to Look,” aliyomshirikisha Slim Jxmmi ambaye ni mwenzake na Slim Jxmmi mwenyewe solo single yake ni “Brxnks Truck,” aliyomshirikisha Swae Lee pia.
Ngoma ya 3 waliyoitoka kwa pamoja kama kundi inaitwa “Powerglide,”
EmoticonEmoticon