Birdman is singing Nicki Minaj’s praises.
Rapper Birdman Cash Money CEO amefunguka kuhusiana na uwezo alionao Female Rapper Nicki Minaj na kusema kwamba She is The Best Female Ever
Kupitia mahojiano amefunguka na kusema,"Nicki amekuwa akifanya kazi,hicho ndyo nachoweza kusema,"Alirudia,"She’s been working and she’s focused,Mara zote nasema she’s the best ever, best female ever in hip-hop,Mikono chini huo ndyo ukweli.There’s no getting around it,na Nadhani muda huu anafocus kwenye project yake mpya ijayo."
Aliendelea kumwagia Sifa Nicki na kusema kwamba,"Sidhani kama kuna mwanamke yeyote wakati huu na uliopita ana talent kubwa zaidi ya Nicki Minaj,?Kuna vipimo kwa hili,She’s an elite.Wakati mwingine unaweza kumfungia Nicki chumbani na mwanaume wa Rap, Lakini kama ukimfungia na mtoto wa kike,,Hamna Kitu,Nicki ni Mnyama katika mbio zake, She’s just a special talent.Nimebarikiwa sana kuwa naye mmoja kati ya timu yangu.Ana Kipaji cha kipekee ambacho sijawahi kukisikia kabla"Alimaliza Baby
EmoticonEmoticon