TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wasafi Tv & Wasafi FM Zapata Leseni Rasmi. Muda Wowote Kuruka Hewani(PICHA)

Diamond Platnumz soon vituo vyake viwili Wasafi Radio & Tv vitakuwa hewani kwani right now tayari amekwisha kupata Leseni kwaajili ya kuendesha vyombo hivyo siku ya Leo February 26.




Kupitia account yake ya Instagram ameandika,"Leo tulikabishiwa Rasmi Leseni ya @wasafitv na @wasafifm na Mh Waziri wa Habari, Tamaduni , Utalii na Michezo Zanzibar mh Rashid Ali Juma.....Shukran Nyingi ziifikie Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Jamuhuri nzima ya Muungano wa Tanzania... Ma raisi zetu pendwa Dr John Pombe Magufuli & Dr Ali Mohammed Shein pamoja na Mawaziri wa Habari Tamaduni na Michezo Mh Rashid Ali Juma & Harrison Mwakiyembe....Tamanio letu ni kutengeneza nyanja za Ajira kwa nduguzetu wenye Taaluma za Habari na Utangazaji ambao pengine hawajapata nafasi bado....kwa kuthamini kuwa, bila wao leo hii sisi tusingekuwepo....lakini pia Pamoja kushirikiana na Media zetu nchi Kuendeleza kunyanyua Vipaji toka mitaani na Tasnia nzima ya Sanaa, Michezo na Tamaduni...."
A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on


EmoticonEmoticon