Dj Khaled yupo tayari kwa kuachia ngoma ya kwanza kwa mwaka 2018 na kuikaribisha Album yake ya 11 kwa mwaka 2018.
Official Announcement ya Jina la Album ya 11, litatoka siku ya Ijumaa March 2 na kuna uwezekano pia jina likasindikizwa na ngoma,
Kupitia account ya Instagram Dj Khaled ameweka video na caaption nayosomeka,"👀#BEREADYALERT🚨
FAN LUV FRIDAY ! NEW SINGLE ALERT 🚨 Feat ??? ALSO I WILL LET THE WORLD KNOW MY 11 studio ALBUM TITLE ! @wethebestmusic @rocnation@epicrecords 🙏🏽🔑🙏🏽
GOD IS THE GREATEST!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!"
Haijajulikana katika ngoma hiyo atakuwa amemshirikisha nani bt way back kuna mastaa amepiga nao pich na hatujaona kazi zao ambao ni Diddy, Jennifer Lopez, Busta Rhymes, Fabolous, Big Sean, na Lil Pump
Album 10 za nyuma za Dj Khaled ni
2006 - (Listen… the Album)
2007 - (We the Best)
2008 - (We Global)
2010 - (Victory)
2011 - (We the Best Forever)
2012 - (Kiss the Ring)
2013 - (Suffering From Success)
2015 - ( I Changed a Lot)
2016 - ( Major Key)Imekuwa na mafanikio makubwa baada ya kukamata nafasi ya kwanza Billboard 200
2017 - (Grateful) mekuwa na mafanikio makubwa baada ya kukamata nafasi ya kwanza Billboard 200
EmoticonEmoticon