TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Documentary Ya Culture Ya Migos.Ijue Kupitia Hapa (VIDEO)

Ni mwaka right now toka Best Group Migos walipoachia Album yao ya Culture na wameamua kuandaa Documentary ambayo inaonyesha safari yao ambayo iliwapandisha juu ya chart za Billboard kwa mara ya kwanza kwa album  yao hiyo.

Min Documentary hiyo imeachiwa Exclusive via Tidal,katika video Quavo anasema,We can’t let the people down right now, We’re growing together. We’re all making music and graduating together.” 

Culture ilifanikiwa kukamata namba 1 katika chart za Billboard 200 mwaka jana ilipotoka bt right now Culture II pia imetoka na ilifanikiwa pia kuuza mauzo mazuri yaliyoipelekea album hiyo kukamata namba 1 kwa week 1.

TAZAMA VIDEO


EmoticonEmoticon