TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Akiri Zari Amemwachia Maumivu,Kwa Upande Wa Zari,"whatever it takes👌"

Baada ya Diamond Platnumz kuchana na Zari huku Wengine wakisema kwamba Zari ndyo kamuacha Diamond,Mara Zari Ndyoa ameachwa,Diamond mwenyewe amekubali maumivi Zari aliyomwachia baada ya kuachana.

Toka Zari alipoandika katika account yake kuwa amemwacha Diamond,hakuna respond yoyote Toka kwa Chibu aliyoonyesha popote pale bt Leo Simba amekamata Headlines baada ya ku respond kauli ya Zari kwa kukubali ni kweli amemuachia maumivu na machozi hayataki kukauka.

Kupitia account ya Instagram Chibu ameweka video ya Mbosso Nimekuzoea na caption,"Hayo Mashairi Chaganya na Ua Jeusi...... Dah @mbosso_naona Kama Ulintabiria Mdogo angu😭😥🤦‍♂️" 

After hiyo post iliongozana na nyingine ambayo ni nyimbo toka kwa Khalid Chokora, Kuachwa na kuandika Caption,"Dah, Kuna nyimbo zingine ziliandikwaga jamani...Wadau Dua zenu Muhimu.... Maana naona kabisa mwezi wa Tatu Siuoni😭 "

Kwa Upande wa Zari imeonekana hakuna anachojali kwani katika page yake ya Instagram ameandika,"Me when people ask what I do.... whatever it takes👌"

A post shared by Zari (@zarithebosslady) on


EmoticonEmoticon