TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Rasmi Mjue Mchumba Wa Ed Sheeran Aliyemtangaza Na Nyimbo Alizomwandikia.

Ed Sheeran has found his “Perfect” girl.

Cherry Seaborn aliyekuwa Girlfriend wa Ed Sheeran kwa zaidi ya miaka 3,Right now rasmi ed amemtangaza ni mchumba wake huyo official.

Akitumia mtandao wake wa instagram Ed ameandika,"Got myself a fiancé just before new year. We are very happy and in love, and our cats are chuffed as well xx"

Post hiyo katika mtandao wake wa Instagram ilikuwa Interested sana na kufikisha more than 1 Million Likes kwa muda wa ya Lisaa 1(1 Hour)
Sio mara ya kwanza kwa Ed kumtaja mwanamke mpenzi wake huyo katika vyombo vya habari cs 2017 alishamtaja katika Interview na Zane Lowe on Beats 1 na pia alishamtaja kwa Ellen DeGeneres kuhusiana na mahusiano yao ambapo baadhi ya alichokisema ni kwamba walimaliza naye high school.
One of the Hotest hit ambayo inafanya powa kwenye chart za Billboard Hot 100 kwa kukamata nafasi ya 1 ni Perfect ambayo ilikuwa Special kwa mchumba wake Cherry Seaborn,baadhi ya Lines kwenye hiyo ngoma zinasema,We were just kids when we fell in love, not knowing what it was,I will not give you up this time.

Ngoma nyingine ambayo inafanya powa toka kwenye Album ya Reputation ya Taylor Swift End Game ambayo yupo na Future pia kuna Lines amempangia mtoto wa kike ambazo ni,Knew her when I was young / Reconnected when we were little bit older, both sprung.

(BONYEZA MAANDISHI MEKUNDU KUJUA ZAIDI)






EmoticonEmoticon