Jarida la Forbes kwa kumaliza mwaka 2017
limetolea macho yake Africa na kuwakamata wasanii 10 ambao wameingiza mkwanja mrefu kwa mwaka huo hapo mpaka tulipofikia right Now.
Walichokiangalia Forbes ni Deals walizo-sign wasanii(endorsement deals)Mauzo ya Albums(album sales)Tuzo(Awards),Mchango wao katika kurasa za kijamii na investment.
FULL TOP 10 LIST
1. AKON, AMERICA-SENEGAL
2. BLACK COFFEE, SOUTH AFRICA
3. HUGH MASEKELA, SOUTH AFRICA
4. DON JAZZY, NIGERIA
5. TINASHE, ZIMBABWE-AMERICAN
6. JIDENNA, NIGERIAN-AMERICAN
7. WIZKID, Nigeria
8. DAVIDO, Nigeria
9. SARKODIE, GHANA
10. OLIVER MTUKUDZI, ZIMBABWE
Mullastar
Entertainment
Forbes Imetoa Top 10 Ya Wanamuziki Wa Africa Wanaoingiza Mkwanja Mrefu Kwa Mwaka 2017-2018
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon