TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diddy Atoa Msaada Wa Zaidi Ya Million 300 Nchi Moja Ndani Ya East Africa

Sean "Diddy" Combs may be the highest paid star in hip-hop
Kwa mujibu wa Jarida la Rollingstone wameripoti kwamba, Rapper Diddy amefungua Wallet yake na kutoa mkwanja kiasi cha Dola $200,000 kuisaidia “Hope” Health Care Center in Uganda ambapo ni moja kati ya hatua walizozipita French Montana pamoja na The Weeknd.

Kiasi hicho alichokitoa Diddy kwa pesa za kitanzania ni Million 448,580,000 na ni kwaajili ya huduma za afya za uzazi. 

Kupitria account ya Diddy ya Instagram ameandika,"It’s important to give back and be an agent of change! That’s a core part of being down with the BAD BOY FAMILY! Proud of you @frenchmontana and the year you’re having!! #teamLOVE@mama_hope"


EmoticonEmoticon