Baada ya Rapper Yo Gotti kumaliza harakati zake na Nicki Minaj kwenye Strip Club Anthem,Right now Rapper huyo ameamia kwa Cardi B.
Kupitia mitandao ya kijamii kuna video iliyosambaa tayari Gotti ameshamaliza kazi yake na Cardi B na inategemewa kutoka soon.Keep In Touch
EmoticonEmoticon