Hatua hii ni baada ya Mixtape ya
Sound From The Otherside kufanya vizuri mpaka kuifikia chart za Billboard,Right now amefunguka juu ya mwaka 2018 wakati alipoulizwa na shabiki katika mtandao wa Twitter.Wizkid ameandika,"Well, i'm recording a new album in Lagos Nigeria...and ....eeehhh.. we'll see..."
Well, i'm recording a new album in Lagos Nigeria...and ....eeehhh.. we'll see... https://t.co/XgqFdRsABG— Wizkid (@wizkidayo) January 9, 2018
EmoticonEmoticon