TEKNO SIGNED BY DRAKE
Baada ya video ya pamoja kuonekana Drake na Tekno wakiwa club wana have some fun,Right now kuna headlines za wawili hao kufanya kazi pamoja.
Taarifa zilizopo ni kwamba Tekno amesigniwa na Drake na kuna picha inayomwonyesha Tekno akiwa kwenye studio za Drake na Drake mwenyewe alishare post katika account ya kijamii bt story za ku sign Lebel bado hazijawa confirmed.
Drake amempost Tekno katika account yake ya Instagram na kuandika,"Tekkkkkkkkkkkk time"
Kwenye account ya Tekno pia amempost Drake na kuandika,"B A S E D R O P"
EmoticonEmoticon