All hail Nicki Minaj.
December 8 mwanadada Nicki Minaj alikuwa anaadhimisha Birthday yake kwa kutimiza umri wa miaka 35 na macho yote ya mashabiki yalikuwa kwa Nas anayesemekana wanatoka pamoja na ambacho atakiandika siku ya kuzaliwa Nicki.
Alichokiandika Nas katika account yake ya Instagram na kupost picha ya Nicki Minaj ni,"Queens Get The MFkN Money! Happy Birthday To The QUEEN OF NY / HIP HOP @nickiminaj"
EmoticonEmoticon