TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ed Sheeran Kumwondoa Post Malone Katika Chart Za Billboard.Full Top 10 Chart

Ed Sheeran and BeyoncĂ©'s "Perfect" crowns the Billboard Hot 100
 
Remix ya Perfect ya Ed Sheeran na Beyonce imefanikiwa kufanya makubwa na remix ya Perfect inayopatikana kwenye album ya Divide katika chart za muziki za Billboard katika upande wa Single Hot 100 kwa week hii.

Kupitia Nielsen music wametoa data za mauzo ya ngoma hiyo kwa week ya kwanza ambapo ilikuwa downloaded mara 181,000 mpaka 202,na imefanikiwa pia kukamata week ya 2 kwenye chart kubwa za mauzo hapo Billboard(Digital Sales Song)

Kwa upande wa kusikiliza kwa week ya kwanza ilifikisha 34.9 million kwa upande wa US pekee sawa na asilimia 87. 

Post Malone na ngoma yake ya Rockstar imeshuka mpaka nafasi ya pili baada ya kukaa week 8 mfululizo kwenye chart hizo za Single Hot 100

FULL TOP 10
1. Ed Sheeran feat. BeyoncĂ© – “Perfect Duet”
2. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”
3. Camila Cabello feat. Young Thug – “Havana”
4. Lil Pump – “Gucci Gang”
5. Imagine Dragons – “Thunder”
6. Sam Smith – “Too Good at Goodbyes”
7. G-Eazy feat. Cardi B & A$AP Rocky – “No Limit”
8. Halsey – “Bad at Love”
9. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”
10. Marroon 5 feat. SZA – “What Lovers Do”


EmoticonEmoticon