Everybody Know The Way Taylor Swift Is Going Up
Tukiwa tunangojea ujio wa Album ya Reputation ya mwanadada Taylor Swift,ametumia mitandao yake ya kijamii kuweka Tracklist za ngoma zitakazopatikana katika Album hiyo na wasanii wawili waliofanikiwa kupata shavu.
Album ya Reputation imecontain ngoma 15 na wasanii wawili waliofanikiwa kufanya naye kazi ni Future pamoja na Ed Sheeran katika ngoma moja inayoitwa End Game.
Baadhi ya ngoma ambazo zimeshakuwa Out katika Album hiyo ni pamoja na Look What You Made Me Do, Ready For It , Gorgeous na Call It What You Want
Album ya Taylor inategemewa kuingia sokoni tarehe 10 October 2017
Reputation tracklist in full:
1. "...Ready for It?"
2. "End Game" (featuring Ed Sheeran and Future)
3. "I Did Something Bad"
4. "Don't Blame Me"
5. "Delicate"
6. "Look What You Made Me Do"
7. "So It Goes..."
8. "Gorgeous"
9. "Getaway Car"
10. "King of My Heart"
11. "Dancing With Our Hands Tied"
12. "Dress"
13. "This Is Why We Can't Have Nice Things"
14. "Call It What You Want"
15. "New Years Day"
STORY KWA NJIA YA VIDEO
EmoticonEmoticon