TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Ya Chris Brown Imefanikiwa Ku Land Katika Chart Za Billboard 200.Tazama Top 10 (VIDEO)

Album ya Chris Brown Heartbreak On Full Moon iliyo Contain ngoma kali kama Party, Privacy, Qustion, Grass Ain't Greener,Pills and Automobiles na nyinginezo,imeweza ku land katika chart kubwa za Billboard 200 baada ya kufikia mauzo mazuri ya week ya kwanza.

Album ya Breezy kwa mujibu wa Nielsen music imefanikiwa kufikia mauzo ya copy 68,000 katika week ya kwanza ambapo imefanikiwa kundokea kwenye nafasi ya 3 huku Kelly Clarkson akikamata nafasi ya pili na nafasi ya kwanza ikikamatwa na Kenny Chesney
BILLBOARD 200 TOP 10
1. Kenny Chesney – Live In No Shoes Nation – 219,000
2. Kelly Clarkson – Meaning of Life – 79,000
3. Chris Brown – Heartbreak on a Full Moon – 68,000
4. 21 Savage, Offset, & Metro Boom – Without Warning – 53,000
5. Post Malone – Stoney – 41,000
6. Yo Gotti – I Still Am – 38,000
7. Big K.R.I.T. – 4Eva Is a Mighty Long Time – 33,000
8. Ed Sheeran – ÷ – 32,000
9. Future & Young Thug – Super Slimey – 31,000
10. Lil Uzi Vert – Luv Is Rage 2 – 30,000 

STORY KWA NJIA YA VIDEO NA PICHA


EmoticonEmoticon