TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Migos Wamekubali Kuwa Fisi

Rappers wa kundi la Migos baada ya kusikia hedlines za wasanii waliopata shavu la kuweka sauti katika The Lion King Disney akiwemo Beyonce,Nao wamekuja na kutaka waongezwe katika list hiyo kwa kuwekwa katika 3 Hyenas (Fisi watatu)

Kupitia account ya Quavo ya Twitter ameandika,"3 Hyenas Lions King 🙌🏾 call us 📱
@Disney"


EmoticonEmoticon