TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Diamond Platnumz Ayaandika Haya Kwa Rapper Meek Mill

Baada ya mastaa kibao wanaofanya game moja na Meek Mill kuandika ya kwao kuhusiana na kifungo cha Rapper huyo kwenda Jela miaka 2 hadi 4,Msanii Diamond Platnumz naye toka Tanzania kwenye Headlines kwa kuandika maneno ya kumtia moyo rapper huyo.

Kupitia account yake ya Instagram Diamond platnumz ameandika,"Because you are Strong enough and God knows you can Manage it, that's why he decided to challenge you....Don't be disappointed, Make him Proud!!! #FreeMeekmill #MMG" (Kwasababu upo imara vya kutosha(nguvu za kutosha),Mungu anajua utahimili hilo na ndyo maana akaamua kuku challenge usiwe Disappointed mfanye ajivunie kuwa nawe") 


EmoticonEmoticon