TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mambo 4 Muhimu Aliyoyaongea Remy Ma Kwenye Interview (VIDEO)

Female Rapper Remy Ma amefunguka kupitia MTV mambo muhimu ya kuyajua kuhusiana na Album yake 7 Winters & 6 Summers,Collaboration,Favorite Rapper wake na mengine mengi.

Remy Ma anasema kwamba mmoja kati ya wasanii anaowakubali ni pamoja na A Boggie.

Kuhusiana na ngoma ya Wake Me Up aliyofanya na Lil Kim ambayo ni Diss Track kwa Nicki Minaj alisema kwamba,"Mimi na Kim tulikuwa hatuongea kwa muda na nilivyoipata hii nyimbo nlijua haiwezi kukamilika bila yeye, na nlikuwa studio nikauliza inabidi nimlete Kim aingize vocal kwenye hii ngoma,Itakuwa powa?yeah wakasema itakuwa cool,na walivyotoka nje nikasema MUNGU nisaidie nimpigie Kim nimwambie aje tufanye hii ngoma na nlivyompigia akasema powa bt akaniambia ulikuwa unafkiri nitasema hapana,?no i love u.That's it"

Kuhusiana na Video ya wimbo huo tayari ameshatoa kipande kidogo cha video bt This week tutegemee kuona full video ambayo kuna uwezekano wa kuachiwa.

Kuhusiana na Album 7 Winters & 6 Summers bado muda maalum wa kuiachia haujajulikana lakini ngoma zilizopo ndani ndyo zinajulikana na ameshaanza kushoot video cs hata last week alikuwa katika zoezi hilo.

Kuhusiana na ngoma inayokuja right now,"Ngoma yangu inayokuja ntakuwa na Chris Brown ambayo itaitwa ‘Melanin Magic,’ aka ‘Pretty Brown na itakuwa amaizing"

Collaboration na wasanii wengine ni akiwemo Cardi B,A Boggie with Da Hood.


EmoticonEmoticon