TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

August Alsina Afunguka Kuhusiana Na Muziki Wake Right Now Album

Mashabiki wanasubiria ujio wa Album ya Drugs ya August Alsina kabla ya mwaka kuisha cs it's been a while toka ametangaza kwamba itaingia sokoni chini ya Label yake ya Def Jam Records 

Kupitia mtandao wake wa Twitter ameconfirm kwamba Label yake ndyo imeshikilia Album hiyo na inawezekana ikashikiliwa mpaka mwakani bt ataachia free music soo,

Alsina ameandika,"I would love to put my album out but DEF JAM is holding it/me hostage because the system is not up & running until next year so they basically dont exist. The label is just TRASH .. I will release free music soon but that has been the hold up. Tell Them to FREE ME 🗣& the Album🗣"
Ngoma ambazo zipo out na zinapatikana katika hiyo Album ni Drugs, Wait & Lonely  


EmoticonEmoticon