TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Jordin Sparks Baada Ya Kuolewa,Kuna Jambo Jipya Amelitangaza

Jordin Sparks aliyefanya powa sana na ngoma yake One Step At A Time way Back,Amefunguka mambo mawili muhimu ambayo yamekuwa kama suprise kwa mashabiki wake bt kwa upande mwingine ni goodnews 

Jordin amekiambia chanzo kimoja cha Habari cha People kwamba sio tu anayo furaha ya kuolewa na Dana Isaih bt pia anategemea kupata naye mtoto,kumaanisha kwamba right now ni mjamzito.

Kupitia ukurasa wa Chanzo hicho umeweza kuwapongeza wawili hao kwa kuandika,"Congratulations #JordinSparks! 💕 The #AmericanIdol winner is married—with a baby on the way! 👶 Tap the link in the bio for all the details. |📷: @michelson_ari"


EmoticonEmoticon