TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

P.Diddy Aomba Radhi Kwa Kubadili Jina Lake.Asema Haya (VIDEO)

FALSE ALARM

Baada ya Rapper Diddy kubadilisha jina lake siku ya Birthday yake na kuwatangazia mashabiki katika mtandao wake wa kijamii,Right now ameomba radhi kwa hilo na kusema kwamba ilikuwa ni Joke.


Akiongea tena katika mtandao huo huo alipotolea kauli ya Kwanza Diddy amefunguka na kusema, “Nimekuja kwenye Conclusion ambayo hauwezi ukacheza na mtandao wa Internet nimekuja kusema kwamba ilikuwa ni Joke na Sijabadilisha Jina langu
Diddy alikuwa amejiita Loveaka Brother Love bt Now ameconfirm ilikuwa ni Joke tu.

STORY KWA NJIA YA VIDEO NA PICHA


EmoticonEmoticon