TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wizkid Kugombea Katika Category Moja Na Jay-Z,Kendrick,Dj Khaled,Drake Na Wengine Kwenye Tuzo Hizi Hapa (VIDEO)

Msanii Wizkid nyota yake inazidi kung'aa pande za unyamwezini na hii ni baada ya kutajwa katika tuzo za MOBO "Music of Black Origin" kwenye Category moja na ma Rapper wakali (Untouchables) kwenye Category moja ya Best International Act.

Full List ya Wasanii aliopangwa nao ni 
BEST INTERNATIONAL ACT
Migos
Travis Scott
DJ Khaled
Jay Z
Drake
Wizkid
Sza
Cardi B
Kendrick Lamar
Solange Knowles
But katika category nyingine ya kawaida aliyopangwa ni Best African Act akiwa na wasanii wenzake toka pande za Nigeria
BEST AFRICAN ACT
Wizkid
Davido
Wande Coal
Eugy
Maleek Berry
Tiwa Savage
Juls
Mr Eazi
Sarkodie
Tekno
TAZAMA VIDEO KWA NJIA YA SAUTI NA PICHA


EmoticonEmoticon