TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tyga Ametangaza Kuleta Jambo Hili Jipya.Stay Tune Soon (VIDEO)

Stay Tune Soon

Miezi 3 baada ya kudondosha Project ya Bitch I'm The Shit 2(BITS2) T- Raw yupo tayari kwaajili ya ujio mpya alioutangaza.

Kupitia account yake ya Twitter Tyga ametangaza yupo tayari kwa ujio wa Mixtape nyingine mpya ambayo inaitwa Bugatti Raww ambayo ameshirikiana na Dj Smalls na tarehe ya kutoka mixtape hiyo ameandika ni October 23

Tyga ameandika katika Tweeter "New Music #BugattiRaww Mixtape drops next week 10/23 ðŸ”¥ðŸ”¥ðŸ”¥
Way Back baada ya last Mixtape alitangaza kwamba anaamia kwenye kuimba na kufanya mazoezi bt haijajulikana kama mixtape hiyo itakuwa ni ya kuimba au no bt jina linaonyesha haitakuwa ya kuimba. 

TAZAMA STORY KWA SAUTI NA PICHA


EmoticonEmoticon