TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wiz Khalifa Ametangaza Jambo Hili Kabla Ya Kudondosha Album

Rapper Wiz Khalifa ametaja ametaja tarehe ya ku dondosha jambo jipya kabla ya album yake kutoka ambopo alishaahidi kudondosha ndani ya mwaka huu.

Weekend hii hapa Wiz alitumia mtandao wake wa Twitter kujibu mashabiki kuhusiana na mixtape yake ambayo ataitoa inayoitwa Laugh Now, Fly Later bt hakuweka tarehe ya kutoka mpaka shabiki mmoja alipomuuliza kuhusiana na tarehe na aliandika November 10
Bt kama unakumbuka katika maandalizi mazuri ya Album ya Wizkhalifa last week alionekana na Pharell Williams studio na ndani ya Week hii ameonekana studio na Travis Scott bt haijajulikana kwa hao wote kama wata appear kwenye Mixtape au wanaweza wakawa katika ujio wa Album,

WASHIRIKI WA TUZO ZA AMS & EMINEM FREESTYLE 


EmoticonEmoticon