TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Cardi B Aachia Ngazi Kwenye Billboard,Post Malone Namba 1

Congratulations to Post Malone.

Baada ya kumaliza week 2 na Rockstar katika nafasi ya 2 huku mwanadada Cardi B akiwa katika kushikilia record ya nafasi ya kwanza,Right now Post Malone amefanikiwa kufikia katika nafasi ya 1 ndani ya Week hii kwenye Hot 100.

Imekuwa mara ya kwanza kwa Post Malone kukamata nafasi ya 1 kwenye chart za Billboard Hot 100 bt ni mara ya pili kuingia katika Top 10 ambapo first time aliingia nafasi ya 8 na ngoma yake ya Congratulations aliyomshirikisha Quavo

FULL TOP 10 HOT 100 CHART
1. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”
2. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”
3. Logic feat. Alessia Cara & Khalid – “1-800-273-8255”
4. Taylor Swift – “Look What You Made Me Do”
5. Portugal. The Man – “Feel It Still”
6. J Balvin & Willy William feat. BeyoncĂ© – “Mi Gente”
7. Sam Smith – “Too Good at Goodbyes”
8. Imagine Dragons – “Thunder”
9. Demi Lovato – “Sorry Not Sorry”
10. French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”

DESPACITO IMEVUNJA RECORD YOUTUBE


EmoticonEmoticon