TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Week Ya Pili Kwa Cardi B Kwenye Chart Za Billboard.Tazama Hot 100 Top 10

Baada ya kuvunja rekodi ya kuwa mwanamke wapili kuingiza nyimbo yake katika top 100 za billboard na kuweza kushika namba moja sasa Cardi B ameweka rekodi nyingine hii ni baada ya ngoma yake ya Bodak Yellow kuweza kuendelea kushika namba moja katika chart za Billboard kwa wiki ya pili sasa.

Kupitia Billboard Chart Data kwenye Account ya Twitter wameandika,"Billboard Hot 100: #1(=) Bodak Yellow, @iamcardib [13 weeks]. *second week at #1*"

Kupitia account ya Instagram ya Cardi ameandika,"THANNNKKKK YOUUUU!!!!!! Everyyyyybodyyy .Im giving all my followers a Dollar...SIKEEEEEE!!!!...ain’t got money like that yet ...Heyyyyy @ddlovato 👋🏽👋🏽👋🏽👋🏽"


This Week Billboard Hot 100 Top 10
1. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”
2. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”
3. Taylor Swift – “Look What You Made Me Do”
4. Logic feat. Alessia Cara & Khalid – “1-800-273-8255”
5. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
6. French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
7. Portugal. The Man – “Feel It Still”
8. Imagine Dragons – “Believer”
9. Yo Gotti feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”

10. Demi Lovato – “Sorry Not Sorry” 


EmoticonEmoticon