TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wasanii Watakao Perfome Katika Jukwaa La BET HIP HOP Awards 2017

Pamoja na Cardi B kuongoza katika kuwania Tuzo za BET Hip Hop Awards 2017 na Dj Khaled ku Host shoo hiyo pia wamefanikiwa kuingia katika List ya wasanii watakao Hit Stage siku hiyo.

BET HIP HOP Awards 2017 imetoka List ya wasanii watakao Perfome katika jukwaa ambao ni,Migos, Cardi B, Dj Khaled, Playboi Carti, Yo Gotti, hometown heroes Rick Ross, Trina, Trick Daddy, T-Pain, Plies, na Flo Rida.List hii ni kwa mujibu wa Billboard 

BET HIP HOP Awards 2017 zimepangwa kufanyika Ndani ya Miami October 6 na zitarusha Live On Air October 10

Related Posts


EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv