Kupitia Who’s The Next Beyond The Border ya Hot 97,Msanii Nasty C kutokea South Africa amefunguka mambo mengi sana bt kuna mambo mawili muhimu ya kuyajua kuhusiana na Game yake ya Music.
Nasty C amefunguka kuhusiana na waliomu-insiper katika game ya music na amekuwa akiwasikiliza toka alipokuwa mdogo pindi anatoka shuleni,
Nasty C anasema, “Nimekuwa nikisikiliza sana nyimbo za TIpamoja na Lil Wayne na tofauti na Swagger zao,wako poa bt ninachopendea katika muziki wao ni pamoja na story wanazozieleza na miziki yao unaweza ukaisikiliza na ikakufanya u feel good”
Nasty C alifunguka pia kuhusiana na Collabo na wasanii pia anaowaangali kwa upande wa Kimataifa na aliweza kuchagua wasanii 2.
Nasty C alifunguka na kusema, “I Really Like To Work With Adele and Young Thug”
Aliufunguka sababu ya kutaka kufanya kazi na kila mmoja na kusema kuwa,
“Nataka kufanya kazi na Adele kwasababu ana sound perfect na ni amazing”Alisema Nasty C kuhusiana na Adele bt Kuhusiana pia na Young Thugalifunguka,
“Na Young Thug nikipata nafasi ya kufanya naye ngoma nitafanya naye Happy Song(ngoma ya furaha)”Alisema Nasty C
Kumbuka pia Nasty C ameshafanya ngoma na Rapper FrenchMontana inayoitwa Allow ambayo ni ngoma ya kwanza kwenye Album yake na inapatikana Itune Right now.
EmoticonEmoticon