Baada ya kuonyesha upendo kwa shabiki mmoja aliyemvisha pete mpenzi wake backstage,Right now kuna jambo jipya Kundi la Migos wamefunguka nje ya game ya muziki wanaoufanya.
Kupitia mahojiano na Apple Music Beats One Radio na Zane Lowe alipowauliza kuhusiana na jambo linalifwata na alijibiwa jibu la kushangaza na Offset kwamba ni "Movie",
OffSet alisema,"My Boy Quavo anaandika Script na amekuwa jokoni akiijaribu kuipika"
But Quavo mwenyewe pia laifunguka kuhusiana na Jambo hilo kwa kusema pia movies ambazo amekuwa Inspired nazo.
Quavo alifunguka na kusema,"I’m a ’90s baby na favorite movies zangu got all my dope artists in ’em, kama Juice, Menace II Society, Movie zote za Snoop Dogg, Master P movies, I Got the Hook-Up, Baller Blockin’ the Big Tymers movie,Hicho ndyo tunachokifanya kwa wakati huu na tunaangalia muongozo wetu".
'My boy @QuavoStuntin writing a script, he out here really in the kitchen tryna whip up' @OffsetYRN on working on movies @Migos @Beats1 pic.twitter.com/ESMZObj86L— Zane Lowe (@zanelowe) October 2, 2017
EmoticonEmoticon