TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Habari Mpya Toka Billboard Mpaka Youtube.Faida Kwa Watumiaji Wa Mtandao Wa Youtube

Kwa mujibu wa taarifa za mitandaoni zilizoripotiwa na website moja ya  Hits Double Daily imeeleza kwamba Billboard itaanza kuchukua data za wasikilizaji katika mtandao wa Youtube(YouTube streams)na kuwajumuisha katika ranking ya mauzo ya Album kwenye Top 200 Charts jambo ambalo lilikuwa halifanywi hapo awali.

Kupitia mtandao huo umeripoti kwamba taarifa hizo zimetolewa na Lyor Cohen, ambaye ni head of global music katika mtandao YouTube.

Kwa upande wa Billboard bado hawajatoa Official Announcement kuhusiana na hilo.

Let's Wait & See


EmoticonEmoticon