TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Gucci Mane Anategemea Kufanya Hili Baada Ya Ndoa Na Mafanikio Ya Album Yake.

Gucci Mane amekuwa Rapper mwenye bahati kwani amefunga ndoa Last Week na Album yake ya Mr Davis imefanikiwa kuuza mauzo mazuri na ku land katika chart kubwa za Billboard 200 week hii kwa kukamata nafasi ya 2,Right now kuna Headlines

Gucci Mane ametangaza ujio mpya wa Album nyingine ikiwa ni baada ya kumalizana na mambo ya ndoa,Project hiyo tayari imeshapewa jina mpaka right now na kupitia account yake ya twitter ametangaz kuhusiana na hilo.

Gicci ameandika,"I'm naming my next album #El Gato the #HumanGlacier I wanna make 10 mo million for my honeymoon #1017 #MrDavisTheAlbum"

Endapo ataitoa Album yake hiyo kabla ya mwaka kuisha,itakuwa Album yake ya 3 ndani ya mwaka mmoja,ambapo atakuwa amevunja record kwa kudondosha Album 3 kwa mwaka mmoja.


EmoticonEmoticon