TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Chris Brown Afunguka Mambo 5 Muhimu Kuhusiana Na J.Lopez,Mwanaye,Ngoma Yake,Zawadi Ya Dj Khaled Kwa Asahd Collaboration (VIDEO)

Chris Brown anategemea kutoa Album yake soon mwisho wa mwezi huu na right now anafanya Media Tour kwaajili ya kukamata attention ya watu ili mzigo upokelewe vyema sokoni.

Breezy amefunguka mambo mengi akiwa katika media 2 maarufu,Hot 97 pamoja na Power 105.1 kwa Angie Martinez.

Mambo 5 Muhimu aliyofunguka ni kuhusiana na   J.Lopez,ngoma yake ya Pills And Automobiles,Mwanaye Royalty,Collaboration,Zawadi ya Bei Ghali Dj Khaled aliyompa mwanaye ya Dola$100,000.

1:Kuhusiana na Ngoma yake ya Pills and Automobiles Breezy alifunguka na kusema?
Ile nyimbo nlitunga for Fun na sikumaanisha watu wafanye Hivyo,na ndyo maana hata ukiangalia video unaona jinsi watu wanavyohave some fun na hizo ni kama terminologies tu.

2:Kuhusiana na swala la Collaboration kwa wasanii wenzake,Ni yeye anawapigia simu au wanamwomba wenyewe?
Ni kama 50/50 kwa muda huu”Alitolea mfano wa ngoma ya Pills and Automobiles walivyokutana na Boggie na kuongezea kwenye ngoma ya Perfect ya Dave East pia walikutana studio na ku share Ideas."
3:Kuhusiana na mwanaye anajua yeye ni famous na huwa anamweka mbali na vitu gani ?
Anaelewa kwamba mimi ni famous na hata wakati mwingine ananiambiaga kuwa yeye ni Chris Brown na mimi namwambia, “aright ur”,na wakati mwingine anamwambiaga mama yake lini ntaenda stage na baba tena cs kuna wakati nlishaenda naye L.A kufanya shoo na nikawa nimembeba so anakumbuka

4:Vp kuhusiana na Dj Khaled alimpa mwanaye Saa Yenye Thamani ya Dola $100,000 vp mwanao,bt kuhusiana na mtoto wake kwenda date cs ni wakike?
Mtoto wake ni wa kiume so ni powa na siwezi kumpa mwanangu saa ya bei hiyo bt unajua Khaled ni Mr We The Best so before u walk Shine,Kuhusiana na Date mi sijui ni nini na we don’t Date,We Never Date(Go Prom)am ur Date forever
6:Kuhusiana na Jenifer Lopez Breezy alifunguka na kusema,
J Lo ni Nomaa sana, nampenda na nina mtaka Sijali ata akiwa ni miaka 70 anaweza kuwa na mimi muda wowote na nlikuwa naye katika maongezi ya biashara na nikamgusia kuhusiana na hilo akaniangalia vibaya(Huku akifanya vitendo)na mimi nikamwambia kwanini unaangalia hvyo,You lookin good,stop I like that.”But Breezy aliomba msamaha kama amemkwaza kiaina kwa kumwambia, “Sorry,nimeshaomba msamaha tayari cs u beautiful and she know that

UNAWEZA KUTAZAMA STORY KWA PICHA NA SAUTI


EmoticonEmoticon