TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Selena Gomez Amefunguka Baada Ya Kutoka Hospitalini Kuhusiana Na Back In Business,Taylor Swift...(AUDIO)

Selena Gomez Right now amepanga kurudi katika kazi yake ya music,mean kwenye muziki wa Album na amefunguka mengi katika mahojiano ya Apple Music Beats One na Zane Lowe.

Kuhusiana na Album au ku back in business na new music Selena alisema kwamba,"Nipo tayari na nataka kurudi na ku focus kwenye muziki,To Be honest nina album kama mbili ambazo zipo tayari na nataka kuweka mambo sawa na karibuni watu wanaweza wakazipokea I want it to be good."

Kuhusiana na Taylor Swift anayetegemea kuja na Album ya Reputation,Selena alifunguka na kusema kwamba,"Mimi ni mmoja kati ya mashabiki wake mkubwa,She's killin' it. It's everything you would want and more."

SIKILIZA INTERVIEW HAPO CHINI FULL


EmoticonEmoticon