TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Despacito Imeweka Record Mpya Katika Mtandao Wa Youtube Na Kumtoa Wiz Khalifa

Baada ya kufamikiwa kuvinja record na Remix katika Chart za Billboard Hot 100 kwa kukaa week 16 na kumtoa Mariah Carey,Right Now Luis Fonsi ameongeza credit kwa kwa video yake ya Despacito aliyomshirikisha Daddy Yankee kutazamwa zaidi katika mtandao wa Youtube.

Despacito ilitoka January 12,2017 na ilifanikiwa kufikisha watazamaji Billion 1 August 4 na kuwa video iliyotoka mwaka 2017 na kutazamwana na watu wengi kuliko nyingine bt kufikia October 11,2017 video hiyo ilifanikiwa kufikisha watazamaji Billion 4 na kuvunja record ya mwaka na kuwa video bora iliyotazamwa na watu wengi duniani katika mtandao wa Youtube kuliko video nyingine.

Video iliyotolewa katika nafasi ya 1 ni SoundTrack ya Fast and Furious 7 ya Wiz Khalifa na Charile Puth ambayo ina watazamaji Billion 3.15.

Alichokiandika Luis Fonsi baada ya mafanikio ya kazi yake hiyo ni,"4 billion views!!! Gracias por el apoyo familia. Gracias Puerto Rico 🇵🇷@daddy_yankee @elasticpeople @zuleykarivera"
Tazama Top 20 Ya Video Zilizotazamwa Sana Katika Upande Wa YouTube 

TAZAMA VIDEO


EmoticonEmoticon