TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Mpya Ya Diamond Platnumz

Hit Maker wa Hallelujah, Diamond Platnumz ametangaza ujio mpya wa Album yake ijayo na hii inaletwa na mafanikio na kukubaliwa na mashabiki huku wakitaka ladha zaidi toka kwake.

Kupitia account yake ya Instagram amethibitisha hilo kwa kuweka art ya Album iliyo na jina na kuandika,"ALBUM SOON COME... #ABoyFromTandale πŸ”₯🎢πŸ”₯"

Kumaanisha kwamba Album itakwenda kwa jina la A Boy From Tandale bt tarehe ya mzigo huo ku land sokoni bado hajaitangaza bt kuna uwezekano ikawa ndani ya mwaka huu. 
A post shared by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on


EmoticonEmoticon