Rapper Birdman CEO wa Cash Money ambaye amemlea Rapper Lil Wayne amewatolea uvivu mashabiki wa Lil Wayne wanaomjia juu na kumtaka amlipe Weezy na staff nyingine za kibiashara.
Akiwa katika mtandao wa kijamii Birdman ametoa maneno makali kwa mashabiki na watu hao kwa kusema kuwa,"Ninawasikia mkiongelea mambo fulani ya Lil Wayne,mara hivi,mara kafanya hivi,Lil Wayne ni mwanangu,nimemkuza na mimi ndyo nimemleta kwenu akafanya anayoyafanya,Mlikuwa mnafkiri sikuwa imara naye?Suck a ni**a dick, bitch.”?"
Birdman aliendelea kwa kuwaahidi kwa kwaambia atamtoa machozi anybody who crosses him na kumwita kwamba yeye ni mjuaji, na kuwaonya watu kutokucheza na yeye au na biashara zake(warning others not to play with him or his business.)
Kwa kusema,"And if you cross my line,tayari mmeshanijua na siwezi kuwaeleza cs mnajua mimi ni mtu wa aina gani (You know what type of ni**a I am) That How It Is (Fuck ya, ni**a. Tear ya ass up, playing with me and mine.”)Alimaliza Birdman kwa maneno makali na ya matusi
TAZAMA VIDEO HAPA
EmoticonEmoticon