Baada ya Last week kumalizana na mambo ya Talaka kati yake na producer Dot Da Genius,Jhene Aiko ameamua rasmi kuthibitisha mapenzi yake kwa Big sean jambo ambalo lilikuwa tu linasemekana bt kwa upande wao walikuwa hawajaliweka wazi.
Jhene Aiko ameamua kuchora Tattoo ya Rapper Big Sean katika mkono wake wa kushoto ikiwa inaonyesha picha ya rapper huyo amevaa suti na tai ndogo huku akitabasamu.
Jhene Aiko right now anafanya vizuri na Album yake inayoitwa Trip iliyotoka September 21 na imefanikiwa kukamata nafasi ya 5 katika Chart Za Billboard 200
EmoticonEmoticon