TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tekno & Wizkid Wamemaliza Tofauti Zao (VIDEO)

Msanii Tekno Miles pamoja na Wizkid wamemaliza tofauti zao zilizokuwa zimeanzia katika mtandao wa kijamii wa Twitter .

Weekend hii hapa siku ya Jumapili October 15 walionekana night club waki have some fun pamoja.

Maybe mashabiki wanaweza kutegemea ujio wao pamoja soon baada ya mambo kukaa sawa.
RICK ROSS AMTETEA LIL WAYNE


EmoticonEmoticon