TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Ya Eminem Ipo Tayari Imekwishakamilika bt Kinachosubiriwa Ni.......

Kwa muda mrefu fans wamekuwa wakisubiria ujio mpya wa Rapper Eminem baada ya kuwa kimya for a while bt Right now kuna headlines na good news kwa wewe shabiki wa Eminem kuhusiana na music.

 Kwa mujibu wa Producer Denaun Porter amefunguka kuhusiana na kukamilika kwa Album ya Rapper huyo kwa kusema,Am I working on Eminem’s new album?”Aliuliza mashabiki kupitia instagram Live Streaming,"Hapana Tumemaliza,Vipi kuhusiana na Hilo? "Producer huyo akufunguka mengi kuhusiana na Album bt alichokisema ni amazeballs.”

Stay Tune for more Updates kupitia Mullastar


EmoticonEmoticon