TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tyga Asema Mimba Ya Kylie Jenner Ni Ya Kwake Na Sio Ya Travis Scott

Baada ya taarifa kutangazwa kwamba Kylie Jener wanategemea kupata mtoto wa kwanza toka wawe na mahusiano baada ya Tyga kupigwa chini,Right now kuna Headlines kwamba Tyga ame React kuhusiana na swala hilo.

Kupitia snapchat ya Tyga ali share kuhusiana na taarifa za ujauzito na caption inayosemeka Hell nah thats my kid” huku zikifwatiwa na emoj flani za kishetani bt aliweza kufuta post kwa muda mfupi bt TMZ waliweza kuinyaka.



EmoticonEmoticon