Rapper Kanye West na JAY-Z wamepanga kukutana uso kwa uso ili kumaliza beef lao soon kama mwanzo ilivyoripotiwa.
TMZ imeripoti Maongezi yao ya amani na kupatana yanaweza maliza mvutano wao kuhusu Kanye West kuweka muziki wake kwenye tovuti ya TIDAL ya JAYZ Ambapo Kanye alilalamika Jay Z hajamlipa dola milioni $3.5
Ripoti zinasema kwamba,“The Generals [Kanye na Jay] have to meet face-to-face,When that happens, the resolving the money dispute is a piece of cake.”
EmoticonEmoticon