Mwanadada Tiwa Savage toka Nigeria ametangaza kupitia kurasa zake za Instagram kuhusiana na Ep anayotegemea kuachia soon na mpaka right now tracklist tayari ameshaziachia.
Kupitia Ep yake hiyo ameipa jina la Sugar Cane na ina ngoma 6 na amemshirikisha msanii Wizkid katika ngoma ya inayokwenda kwa jina la Malo.
Mzigo huo Sugar Cane unategemewa ku land September 22 sku ya Ijumaa ambapo katika page yake ameandika,"Thank you God, it's been a lot of work but I am sooooo happy right now
SugarCane the EP out sept 22nd
#SugarCane"
EmoticonEmoticon