TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Aongeza Tattoo Nyingine Katika Mwili Wake Ya Mkongwe Huyu

Rapper Drake imekuwa ni kitu cha kawaida kwake kuchira tattoo ya mtu ambaye anam-Inspire kama alivyofanya kwa baadhi ya wasanii akiwemo Lil Wayne na wengine bt Right now ameongeza Tattoo mpya nyingine.

Drake ameongeza Tatto katika mwili wake ya Actor mkongwe ambaye ni Denzel Washington,Picha hiyo imewekwa mtandao ni na Famed tattooer anayejulikana kwa jina la Inal Bersekov na kuandika,"Mo' better blues" first session on my brother @champagnepapi , thanks as usual for your trust. "Clarke: 'Cause mo better makes it mo better" @denzelwashington1 @officialdenzel #denzelwashington#mobetterblues #tattoo #tattoos #tats #ink #inked #canada #toronto#jazz #blues"


EmoticonEmoticon