Msanii Quavo toka kundi la Migos ambao wanaotegemewa kuileta Culture 2 soon,amefunguka Quavo kuhusiana na jambo kubwa alilonalo yeye na Travis Scott.
Akiwa katika mahojiano hayo,Quavo alisema kwamba,"Project itakwenda kudondoka karibuni watakapopata muda,tumekuwa tukifanya ngoma nyingi sana na tunazo ngoma nyingi pamoja mpaka wakati huu,tunazo ngoma kama 20 na tunahitaji tu muda kidogo tuweze kuweka mambo sawa na mzigo u-land"
TAZAMA HAPA AKIFUNGUKA
EmoticonEmoticon