Msanii The Weeknd ameamua kubadilisha ratiba za Performance ya Tour yake ya “Starboy: Legend of the Fall Tour” kwa sababu ya ugonjwa alionao rafiki/Girlfriend wake Selena Gomez ambaye ni mgonjwa na anategemea kufanyiwa operation ya kupandikizwa figo.
Kupitia chanzo cha habari People kimeripoti kuwa mtu wa karibu amesema kwamba Abel ameamua kufanya hivyo juu ya matibabu ya ghafla na ni serous operation na yeye pamoja na marafiki zake wana wasi wasi juu ya hilo.
Selena Gomezi amethibitisha kufanyiwa upasuaji huo katika account yake ya Instagram na amesaidiwa na rafiki yake wa karibu Francia Raisa aliyejitolea gift hiyo ya kumpa figo.
Selena ameandika,"Najua mashabiki wangu mlishanga kwanini sija Promote sana muziki wangu hapa kati kama ambavyo nafanyaga, niligundua kuwa nilihitaji upasuaji wa Figo sababu ya tatizo la Lupus na nilipumzika ili niwe sawa"
TAZAMA POST YENYE PICHA 3
Ngoma ya mwisho ya Selena Gomez ambayo inafanya powa mpaka now ni ngoma ya Fetish akiwa na Rapper Gucci Mane
EmoticonEmoticon