TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tegemea Jambo Hili Kubwa Toka Kwa Lil Kim Pamoja Na Remy Ma

Queens recognize queens

Baada ya Remy Ma ku Confirm taarifa za collabo yake na Cardi B, Right now stay tune kwani kuna ujio mpya wa Lil Kim na Remy Ma.

Kila mmoja katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter amesha confirm taarifa hizo za collabo kati yao.

Lil Kim ameandika,"My partner frfr @RealRemyMa,The amount of ๐Ÿ”ฅthat was in this room was ridiculous!! Somebody call the fire marshals sheesh. We just made history.
Kupitia accounta ya Remy Ma pia aliandika,"It's coming๐Ÿ˜๐Ÿ’‹ #Legendary #7Winters6Summers#PrettyBrown"


EmoticonEmoticon